Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
Breaking News: Manchester United yatangaza rasmi uamuzi wa kumfukuza Moyes – hiki ndicho walichopost Twitter
Leave a comment
Leave a comment