Top Stories

PICHA 10: Mstaafu Kikwete, Ridhiwan, Chegge katika mazishi ya ‘Sam wa Ukweli’

on

Leo June 8, 2018 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa waliofika eneo la Kiwangwa Bagamoyo mkoani Pwani kumzika Msanii wa Bongofleva Salum Mohamed maarufu kama ‘SAM WA UKWELI’.

Nimekuwekea PICHA 10 kutoka Kiwangwa katika mazishi ya Sam wa Ukweli yaliyohudhuriwa na Rais huyo Mstaafu, mwanae ambaye ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete na mastaa mbalimbali wa Bongofleva.

‘Ma-role model ni Diamond na Alikiba, Hatuwezi kuwa Taifa lenye uchumi imara’ Eng. Barozi

FULL VIDEO: Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kwenda kuzikwa

Soma na hizi

Tupia Comments