Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyosimama na kumtunza Mrisho Mpoto akitumbuiza

on

Ni kutoka kwenye uzinduzi wa mradi wa Mabasi ya mwendokasi Dar es salaam Msanii Mrisho Mpoto alikua akitumbuiza na Banana Zorro ambapo baada ya maneno yaliyotoka kwenye sanaa ya Mpoto kumgusa Rais Magufuli aliamka na kumtunza, tazama kwenye hii video hapa chini

Video via AZAM TV

VIDEO: Tazama Makomando wa Jeshi la Tanzania walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement