Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Kinachoendelea shindano la Mr. Tanzania 2017

on

Shindano la kumtafuta Mr. Tanzania linatarajia  kufanyika April 22, 2017 katika Gym ya Bodyline  Health & Fitness ambapo litashirikisha washindani wengi kutoka sehemu mbalimbnali nchini.

Shindano hilo litafanyika kwa ushirikiano baina ya Bodyline Health & Fitness pamoja na Tanzania Body Building Federation ‘TBBF’.

Kwa mengi zaidi bonyeza play hapa chini kutazama…

VIDEO: Yusuph Mlela ameomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement