Premier Bet

Top Stories

Shule yanye miaka 52 katika muonekano wa zama na ilivyo sasa (+video)

on

Shirika la Nyumba la Taifa limekabidhi rasmi mradi wa ukarabati wa Shule Kongwe ya Mwenge Mjini Singida kwa Mamlaka ya Elimu (TEA).

Makabidhiano hayo yamefanywa na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwa Mkurugenzi Mkuu wa TEA.

Mradi huo wa ukarabati umegharimu kiasi cha Milioni 972 mpaka kukamilika kwake ambapo shule hiyo hapo mwanzo ilikua imechakaa sana kwa muda mrefu na shule ambayo imetoa watu mbalimbali katika nafasi za Uongozi nchini na sehemu nyingine duniani.

RC MWANRI “USIMWAMBIE DC AKUSIKILIZE KIBAO KITAGEUKA, MNATEMBEZA UBABE

Soma na hizi

Tupia Comments