Tangaza Hapa Ad

Michezo

Jerry Muro kayaandika haya baada ya ushindi wa Simba…..

on

Simba na Yanga ni miongoni mwa timu kubwa za mpira Afrika Mashariki ambazo kwa historia ya mpira inasemekena ndio timu zenye upinzani mkubwa hasa zinapokutana uwanjani,January 10 2017 timu hizi zilikutana tena uwanja wa Amaan kwenye kombe la Mapinduzi na kutoa matokeo ya penalt 4-2.

yangaAliyekua msemaji wa Yanga ambaye kwa sasa anatumikia adhabu yake aliyopewa na Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) Ndg,Jerry Muro kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika>> ‘Sikilizeni nyinyi…Bora hata Simba mmeshinda, maana mlivyo watata mngeweza hata vunja Muungano’.

screen-shot-2017-01-11-at-10-00-41-am

Tupia Comments

Advertisement