Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

MAAJABU: Jamaa aonyesha anavyoandaa na kula chupa kama chips kwa miaka 30 (+video)

on

Tukio la ajabu ambalo limetokea Arusha leo April 18, 2019 na kuzua gumzo ni hili la jamaa ambaye ana uwezo wa kupasua chupa vipande vipande na kuvila kama anavyokula chips pia anaweza kunywa maji zaidi ya lita nne na baadaye kuyarudisha maji kimiujiza na kuanza kuyanawia.

MFAHAMU ALIEIGIZA FILAMU YA YESU AMBAE WENGI HUDHANI KWAMBA NI YESU

Soma na hizi

Tupia Comments