Tangaza Hapa Ad

Stori Kubwa

Picha 25: Watu walivyokusanyika kumzika staa wa dance Ndanda Kosovo Dar es salaam

on

April 9 2016 Msanii wa dance Tanzania mzaliwa wa Congo DRC Ngongo Onawembo Ndanda Son (Ndanda Kosovo) alifariki akiwa kalazwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu ya vidonda vya tumbo, msiba wake umegusa wengi na walikusanyika kumzika April 13 2016.

Marehemu Ndanda Kosovo alizawaliwa katika nchi ya Demokrasia ya Kongo tarehe 16 december 1977 katika mji wa Lubumbashi, Ndanda alijiunga na Bendi ya FM Academia Tarehe 19 September 1999, Marehemu Ndanda ameacha wake watatu na jumla ya watoto wanne.

20160413_113225

20160413_131111

20160413_131306

20160413_132502

20160413_143302

IMG-20160413-WA0006

20160413_150131

20160413_150135

20160413_152503

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Le Mutuz

AW1A1063

AW1A1064

AW1A1069

AW1A1071

AW1A1086

AW1A1092

AW1A1095

AW1A1113

AW1A1119

AW1A1124

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye

AW1A1143

AW1A1160

AW1A1181

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

AW1A1193

AW1A1199

AW1A1311

ILIKUPITA HII YA MAELEZO YA DAKIKA 5  YA MJOMBA AKIELEZEA DAKIKA ZA MWISHO KABLA YA NDANDA HAJAFARIKI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement