Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO MPYA: Baada ya Mabawa, hii hapa nyingine kutoka kwa Msami

on

Baada ya hit song yake ya mabawa ambayo imefanya vizuri kwenye radio na Tv stations mbalimbali  mkali kutoka bongoflevani Msami baby amekuja ni hii video mpya ya wimbo wake wa “Step by step” na anatukaribisha kuiangalia  mtu wangu.

KAMA ULIMISS HII KWAMBA  IKITOKEA COLLABO, RAPPER CRAZY GK ANAMTAKA HUYU KWA SASA>>>

Tupia Comments

Advertisement