Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Msondo Ngoma waenda kwa Wanasheria, wanataka WCB wawalipe Milioni 300

on

Ni habari ambazo zimesambaa jioni ya leo kutokana na barua ya Wanasheria iliyosambaa ikionyesha kwamba Band ya Msondo Ngoma inataka kundi la WCB linaloongozwa na Diamond Platnumz liwalipe milioni 300.

Barua hiyo iliyopelekwa pia BASATA na COSOTA inasema Milioni 300 hizo wanazidai kama fidia kutokana na WCB kutumia bila ruhusa melody ya saxaphone ambayo ni ya wimbo wa Msongo Ngoma.

Tunaamini watayamaliza haya salama

VIDEO: Show ya Diamond iliyovunja rekodi Marekani…. bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: Harmonize hatoisahau hii ya kupanda kwenye stage kwa mara ya kwanza Tanga, bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments