Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: Sababu za Mtu Chee kutoziachia project walizofanya na Young Dee

on

October 24 2016 Ayo TV pamoja na millardayo.com imekusogezea sababu walizotoa Mtu Chee kwanini hataziachia Project walizofanya na Youg Dee, Mtu Chee ni kundi la muziki kutoka Bongoflevani lilokuwa na wakali watatu Stamina, Young Dee na Country Boy, Leo Country Boy ameeleza sababu za Mtu Chee kutoziachia project walizofanya na Young Dee

Tumefanya kazi tatu na kuna kazi moja ambayo bado haijatoka na hatutaweza kuitoa kwasababu Young Dee ana uongozi wake kwahiyo lazima tuongeee na uongozi wake kwanza kabla yakuitoa tunaheshimu mchango wake pia‘>>> Country Boy

ULIMISS HII CHAKUFAHAMU ILI KUJIUNGA NA THE AMAZING YA IZZO BIZNESS ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement