Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

MTV BASE imewataja Wasanii wanne wa Tanzania wa kuwaangalia mwaka 2017

on

Orodha ya Wasanii 50 wa kuwaangalia zaidi kwa mwaka 2017 imetolowa na MTV Base ambapo kutoka Tanzania wamo mastaa ambao wametajwa kwamba vipaji vyao ni vikubwa na watatusua zaidi hivyo waangalie 2017.

Waasanii wenyewe ni Billnas, Rayvanny, Ruby na Ben Pol..

OnAIR: Ataemchukuliwa Irene Uwoya Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni na kitu gani cha kufanya ili awe mpenzi wako, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement