Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

MTV Base wamethibitisha ushindi wa tuzo ya Best African Act kwa Alikiba

on

Tuzo za MTV Europe Music 2016 zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BEST AFRICAN ACT tofauti na ilivyokuwa ikionesha kwenye kura za mtandaoni kuwa Alikiba ndiye mshindi.

Mjadalia mkali ulianza mitandaoni kuhusu mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA kwenye category ya BEST AFRICAN ACT, ambapo uliwafikia waandaji wa tuzo hizo. 

mtvema-kiba

Leo November 10 2016 MTV Base East kupitia akaunti yao ya twitter wametangaza rasmi  kuwa tuzo hiyo aliyestahili kuipata ni mtanzania Alikiba na wamempongeza kwa tuzo hiyo .

VIDEO: Ipo hapa Exclusive kuhusu MTV EMA kuichukua tuzo ya BEST AFRICAN ACT kwa Wizkid na kumpa Alikiba 

Endelea kukaa karibu na page zenye jina la millardayo Twitter Facebook Instagram SnapchatAPP kwenye Android na iOS kwa jina hilohilo la @millardayo ili kujiweka kwenye nafasi ya kupata notification ya kila habari inayonifikia.

VIDEO: Performance ya Alikiba, Sauti Sol na Yemi Alade kwenye Steji ya MTVMAMA2016 J’Bourg Afrika Kusini. Itazame hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement