Tangaza Hapa Ad

Videos

Video: Qboymsafi kutoka WCB anatualika kwenye hii Mugacherere

on

Mkali mwingine kutoka lebel ya WCB Qboymsafi ambaye anahusika kama designer kwenye mavazi anayoyavaa Diamond Platnumz anatualika leo kwenye video ya mdundo wake mpya wa Mugacherere aliowashirikisha wakali wengine kutoka Bongoflevai Rayvanny na Shetta, Pia mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hao wataziona hapa.

ULIMISS HIZI SABABU ZA MTU CHEE KUTOZIACHIA PROJECT ZAO WALIZOFANYA NA YOUNG DEE ITAZAEE HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement