Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » Entertainment » Shavu alilolitoa Meek Mill kwa Ice Prince wa Nigeria

January Makamba - Tanzania Mpya

Shavu alilolitoa Meek Mill kwa Ice Prince wa Nigeria

4Headlines za mastaa wa muziki Afrika kuwa karibu na mastaa wakubwa wa muziki duniani wakiwemo wa Marekani zinazidi kuchukua nafasi ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya 2Face wa Nigeria kutoa picha akiwa nyumbani kwa T Pain huko Atlanta Marekani, staa mwingine aliefata kwa kumiliki headlines ni rapper wa Nigeria Ice Prince ambae amepewa big up na Meek Mill kama unavyoona hapa chini.

Hii headline ya Meek Mill kuandika kuhusu album mpya ya Ice Prince anaemuita ‘my African Aboki’ imekuja siku kadhaa baada ya mwimbaji Alaine kutoka Jamaica kusema juu ya uwezekano wa kufanya kolabo na msanii kutoka bongo.

3
1Mpaka sasa kwa Afrika, Wasanii wa Nigeria ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa ya headlines na Wasanii wa Marekani mfano P Square na Rick Ross, Marehemu Goldie na Ciara, J Martins na Pitbull, Wizkid na Chris Brown, Wizkid na Wale, D’banj na Kanye West.

2Kwa East Africa kuna watu kama Jose Chameleone na Sean Kingston pia Ay na Sean Kingston ambao walishafanya audio ya kolabo bado video tu, unaweza kusikiliza kipisi cha single yenyewe hapa chini vilevile kumpigia kura Ay kwenye tuzo za Channel O mwezi huu mtu wangu, tazama hilo tangazo hapo juu kabisa kumsaidia msanii huyu pekee aliechaguliwa kutoka Tanzania.

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top