Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TRAILERS: Movie 9 utazikuta Cinema Dar es salaam leo oct 14

on

Nafahamu kuna wadau wangu wapenzi wa kwenda kuangalia Movies cinema, kama upo Dar es salaam sasahivi nakusogezea list ya trailer za movie ambazo ziko cinema tayari, unaweza kucheck na ukashawishika kwenda kutazama movie utakayoipenda mtu wangu.  
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Dar Free Market Oysterbay, Quality Center na Mkuki Mall, pia hata kwenye cinemax za mikoani kama Arusha Mall unaweza ukaangalia trailers za movie hapa chini zitakazooneshwa leo October 14 2016 usiku.
Deep Water Horizon 

Inferno

Strokes

Mirzya

Queen of Katwe

The Secret Life of Pets

M.S.Dhoni

Remo

The Magnificient Seven

ULIMISS KUITAZAMA HII SNURA ; ‘MANFONGO NI MSHIKAJI LAKINI BENPOL NI MPENZI’ UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement