Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Muonekano wa maeneo ya Jiji la Dar es salaam baada ya Mvua za leo

on

Leo September 28, 2016 Jiji la Dar es salaam limeshuhudia kunyesha kwa mvua kubwa kiasi iliyodumu kwa masaa matano mfululizo, pamoja na hali hiyo hakukua na msongamano wa magari kama ilivyozoeleka kila inapotokea kuna mvua kubwa. Ayo TV imepita katika baadhi ya mitaa jijini Dar na kuona jinsi hali ilivyokua mtu wangu. 

ULIPITWA NA HII YA HUJUMA ZA ATCL ZILIZOTAJWA NA RAIS MAGUFULI WAKATI WA UZINDUZI WA NDEGE MPYA? ITAZAME HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement