Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO:Nilishawahi kupigwa kariakoo wakijua mimi ni mchawi-Bi Mwenda

on

Bi Mwenda ni moja kati wa waigizaji wa muda kwenye soko la uigizaji Tanzania tangu anafanya tamthilia mpaka filamu. Mara nyingi tumekuwa tukimuoa akivaa uhusika wa mchawi, mganga ama mama anayejihusisha na imani za kishirikina, hali ambayo imesababisha watu wengine kufikiri kwamba ndivyo alivyo kwenye maisha yake nje ya camera.

>>>Mimi huwaga nashangaa jinsi ambavyo ma drector wanavyoniongoza pale, maana mimi ni msanii siwezi kukataa sehemu yoyote kwenda ni kama bakuli kwenye kabati mboga yoyote ile itapakua sana sana ma director wagu ndivyo wananielekezaga hivyo lakini sio mchawi, sina roho mbaya..

>>>Niliwahi kupigwa kipindi cha nyuma ilikuwa mwaka 2005,  nilipigwa nikapigwa kariakoo,sabasaba nilipigwa, kwaajili naelewa kuwa hiyo i kazi yangu, sikuitilia maanani sana Bi Mwenda

Video:Post za mastaa zilizo trend  kwenye mitandao ya kijamii wiki hii>>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement