Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Maneno ya Waziri Mwijage kwa wanaosoma elimu ‘mseleleko’

on

Leo October 24 2016 kipindi cha clouds 360 cha Clouds TV kilikuwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage. Pamoja na kuzungumza mambo mbalimbali Waziri Mwijage amegusia suala la vijana wanaoanza shule yaani darasa la kwanza mpaka kufika kiwango cha PHD bila kupitia ujuzi wa kazi yoyote. Mwijage amesema……..

>>>tatizo moja tulilonalo tunapenda elimu mseleleko yaani unaanza leo una miaka sita unaanza darasa la kwanza unakwenda moja kwa moja mpaka unamaliza PHD, hujawahi kufanya kazi’

>>>’Kimsingi mimi elimu ya darasani ni ndogo, niliyonayo ni elimu ya mtaani nimefanya kazi nyingi, nimevua samaki, nimefanya kazi garage, niwahi kuwa hata DJ, hii elimu mseleleko hujawahi kufanya kazi yoyote, unakuwa injinia, kwa hiyo kijana ukikwama tafuta namna unavyoweza kuanza’

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 24 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement