Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Taarifa ya kikosi cha zima moto baada ya shule kuungua Mwanza

on

Headlines za mashule kuungua zimeendelea na leo September 26 2016 shule ya sekondari Mkolani iliyopo Nyegezi Mwanza imeungua moto, na chanzo kinachosemekama kuwa ni itilafu ya umeme, taarifa imetolewa kuwa hakuna madhara makubwa yaliotokea zaidi ya vitu vya wanafunzi kuungua moto.

Millardayo.com na AyoTV imeweza kumpata kamanda kikosi cha zima moto wa mjini Mwanza, Andrew James Mbate na ameongea haya kuhusu tukio hilo la moto kutokea shuleni hapo

>>>’Asubuhi ya leo tulipata mwito wa tukio la moto wa shule ya sekondari ya Mkolani na tulifika katika tukio lakini tulipofika pale tulikuta tayari walimu na wanafunzi’…

Pia Millardayo.com na AyoTV iliweza kumpata Mkuu wa shule hiyo pia na yeye alikuwa na yakusema haya…

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA TAARIFA YA POLISI KUHUSU AJALI YA BASI LA SUPER SHEM MWANZA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement