Premier Bet

Top Stories

Afisa Elimu alivyozimia baada ya kusimamishwa kazi na Mwanri ‘kuzimia sio ishu’ (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri alikua kwenye ukaguzi wake kama kawaida ambapo akiwa hapohapo site alitangaza kusimamishwa kazi kwa Watumishi 7 wa Serikali ambapo mmoja kati yao alizimia papohapo baada ya kupokea taarifa hiyo.

RC Mwanri aliongea pia baada ya tukio hilo na kusema ‘kuzimia sio ishu’ bonyeza play hapa chini kutazama mwanzo mwisho

ULIPITWA? CHEKI STYLE BALAAH ZA CHALII YA R CHUGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

NANDY EXCLUSIVE: “RUGE ALINICHUMBIA, NDOA TUNGEFUNGA MARCH” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA FULL VIDEO YA NANDY AKIONGEA YOTE

Soma na hizi

Tupia Comments