Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Wanawake waliovishana pete ya Uchumba Mwanza wafikishwa Mahakamani (+video)

on

Wanawake wanaoshtakiwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja Mwanza na kuvishana pete ya uchumba na video yao kusambaa mitandaoni, wamefikishwa Mahakama kuu Mwanza leo.

Washtakiwa wote wanne wamekana mashtaka yote waliyosomewa ambapo wamerudishwa rumande mpaka December 13 2017.

Washtakiwa ni Milembe Suleiman (alievisha pete), Janeth Julius Shonza (alievishwa pete) na wengine ni Athen Mkuki alieshtakiwa kwa kosa kusimamia tukio la kuvalishana pete (MC) huku Richard Fabian ameshtakiwa kwa kosa la kusambaza video fupi ya tukio hilo kwenye mitandao. 

VIDEO: KIJANA WA MIAKA 20 KAHUKUMIWA JELA MIAKA 30 BUKOBA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: KAKAMATWA NA BANGI KAGERA LAKINI ALIVYOJITETEA KILA MTU AKACHEKA…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments