Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Vituko vya Mbunge Mwijage mbele ya umati “Nitajifunza roho mbaya” (+video)

on

Mbunge wa Viti Maalum kwa upande wa Vijana Mkoa wa Kagera Halima Bulembo leo amefika Jimbo la Muleba Kaskazini kwa Charles Mwijage kwa ajili ya kutoa misaada ya kusaidia wagonjwa na Mama wajawazito.

Baada ya kukabidhi vifaa hivo, Mbunge Mwijage ametumia nafasi hiyo kuongea na wananchi huku akitoa mifano ya mambo mbalimbali ikiwa ni sambamba na kusema kuwa “sasa anaenda kujifunza roho mbaya”.

ALIYEHUKUMIWA MIAKA 20 AELEZA ALIVYOKUTANA MAGEREZA NA MKEWE ALITAKIWA ANYONGWE

Soma na hizi

Tupia Comments