Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kocha wa Rayon Sports kabla ya timu yake kucheza na Yanga

on

Kocha wa club ya Rayon Sports ya Rwanda Ivan Minnaert, ameongea na waandishi wa habari Tanzania na kueleza mambo mbalimbali ikiwemo taarifa ambazo zinaweza zikawa ni njema kwa Yanga kutokana na ugumu wa michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika CAF.

Kuelekea mchezo dhidi ya Yanga kocha Ivan Minnaert ameeleza kuwa atapambana na Yanga licha ya kuwa kikosi chake kimekuwa kikikosa muda wa kutosha kufanya mazoezi kuelekea mchezo huo dhidi ya Yanga utakaochezwa kesho May 16 2018 uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Aliyoyasema Samatta ameyatimiza, tutamuona Europa League 2018/19?

Soma na hizi

Tupia Comments