Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Msanii Abubakar Mzuri adaiwa kufumaniwa na mke wa mtu

on

October 21, 2016 Ndani ya XXL ya Clouds FM, Mtangazaji Soudy Brown amepiga story na inayedaiwa kuwa ni mke wa msanii maarufu kwa jina la Mjomba. Stori kubwa ni kuhusu msanii aliyewahi kufanya poa kwenye music industry ya Bongo Flava, Abubakar Mzuri ambaye alikuwa zao la mashindano maarufu ya kusaka vipaji vya kuimba Bongo Star Search kufamaniwa na mwanamke huyo.

Inasemekana kwamba msanii huyo amefumaniwa baada ya mume wa mwanamke aliyekutwa naye kuwa safarini nje ya nchi na baada ya kugundulika mchezo wake wa kwenda nyumbani kwa mke wa mtu, Mjomba aliamua kutumia watu ambao walimkamata na kumpa kipigo ikiwa ni pamoja na kumvunja mkono.

Baada ya kuulizwa kama ni kweli juu ya kilichotokea, Mwanamke anayedaiwa kufamaniwa hajanonesha kukataa jambo hilo ingawa hakua na majibu ya moja kwa moja.

>>>>Pole ya nini tena? tatizo gani? kwani kufamaniwa ni jambo la ajabu au? kawaida tu kwahiyo mlikua mnatakaje?:-Mke wa Mjomba

ULIPITWA NA MANENO YA BARAKAH DA PRINCE KUHUSU KUAMBIWA HAWEZI KUWA MUME WA NAJMA? TAZAMA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement