Habari za Mastaa

VIDEO: Utacheka ya Shilole na Uchebe kwenye Birthday yake kapewa gari la M. 30

on

Baada ya Mwimbaji Shilole kusherekea siku yake ya kuzaliwa usiku wa jana December 20, 2018, AyoTV na millardayo.com zilimpata kwenye Exclusive interview na akaongea kuhusu gari la Millioni 30 alilopewa na management yake, pia ametaja mahusiano ya mastaa wanaomvutia kwa sasa na mengineyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya Shilole akizungumza na kufanya vituko vyake na Mumewe Uchebe.

VIDEO: BIRTHDAY YA SHILOLE ALIVYOKATA KEKI NA WASHIKAJI ZAKE

Soma na hizi

Tupia Comments