DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

IMEFAHAMIKA: Hapa ndipo anapoishi Dr. Luis Shika, Majirani waongea (+video)

on

Jina la Dr. Luis Shika lilianza kupata umaarufu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kushiriki mnada wa nyumba za Lugumi na kushinda nafasi ya kuzilipia nyumba 3 ambazo gharama zake ni zaidi ya BILIONI 2.

Gumzo lilikua kubwa sana baada ya kugundulika kwamba Dr. Shika hakuwa na pesa yoyote mfukoni hivyo akakamatwa kupelekwa Polisi kwa kuvunja masharti ya mnada ambapo hata hivyo baadae alisema hawezi kutembea na pesa nyingi hivyo.

Watu wengi wamekua na shauku ya kutaka kujua kama kweli Dr. Shika ni Bilionea kama alivyojitokeza kununua Majumba ya Bilioni, anaishi wapi? maisha yake ni yapi? majirani wameongea kila kitu kwenye hii video hapa chini.

VIDEO: Tajiri Mtata Dr. Shika wa Nyumba za BILIONI 2 ataja kazi yake na kwanini alijitokeza kununua nyumba hizo

.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement