Biko Ad
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

GOODNEWS: Dili alizopata Ben Pol kutokana na style yake ya nywele kijani kibichi

on

Msanii wa Muziki wa Bongofleva Ben Pol amefunguka na kusema kuwa style yake ya nywele kichwani imempa dili mbalimbali zenye mkataba mzuri japo ilichukua muda kukubaliana na moja ya kampuni kutokana na hela aliyokuwa anahitaji yeye lakini mwisho wa siku walikubaliana na hivi karibuni watatangaza official.

Pamoja na hayo Ben Pol amezungumzia kama itatokea atatoboa Pua au kujichubua ili apate dili la mafuta au hereni ambapo amesema kuwa hawezi kubadili vitu ambavyo ni ngumu kuja kurudi kama awali, Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY.

Msanii wa Uganda ‘Nilimlipa Saida Pesa akakataa, nilimpigia magoti kwa heshima’

Soma na hizi

Tupia Comments