AyoTV

CHARLES KITWANGA BUNGENI “Tusiwe kama zima moto” (+Video)

on

Mbunge wa Misungwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga alipokuwa akiwasilisha mapendekezo yake katika taarifa ya kamati ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na kamati ya Miundombinu ambapo ameishauri Serikali kuwa na mipango endelevu katika kuimarisha sekta zake mbalimbali.

Maamuzi ya Serikali kwa Wauguzi wanaowanyanyasa wajawazito

Soma na hizi

Tupia Comments