Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ferooz “Mgahawa wangu ulidumu kwa mwaka mmoja, niliajiri watu 15”

on

Msanii Mkongwe nchini Ferooz ambaye amejitahidi kurejea kwenye Game ya muziki kwa kufanya baadhi ya nyimbo kama Nakaza Roho na  Najaribu ambapo alishawahi kufungua mgahawa uliodumu kwa mwaka mmoja na kisha baadae aliamua kuufunga.

Ferooz anasema kuwaNilifungua Mgahawa pale Dar free market mgahawa uliitwa Hollywood Cafe, nilifanya biashara pale lakini baadae nikaufunga kutokana na changamoto nilizozipata pale, niliajiri watu 15 na mshahara nilikuwa na walipa wafanyakazi wa kawaida laki na nusu kwa mwezi” Ferooz

PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya Ferooz akielezea..

BEEF: Timbulo kuhusu tetesi za kuibiwa wimbo na Abdukiba ‘wametaka niwaongelee’

TUNDA KAFUNGUKA “Napenda vitu vizuri silipiwi na mtu nalala mpaka hotel ya laki 8”

Soma na hizi

Tupia Comments