Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Rais wa Malawi kwenye mazishi ya kocha wa zamani wa Yanga

on

Rais wa Malawi Peter Mutharika leo Jumanne ya May 9 2018 ameongoza mamia ya raia wa Malawi kumuaga mchezaji wa zamani na kocha wa zamani wa club Yanga ya Tanzania na timu ya taifa ya Malawi.

Marehemu Jack Chamangwana

Marehe Jack Chamangwana alifariki Jumatatu ya May 8 2018 nchini Malawi katika mji wa Blantyre alipokuwa anatibiwa katika hospitali ya Queens, Chamangwana atakumbukwa na dunia ya soka kwa mchango wake katika soka.

VIDEO: Emmanuel Okwi hawezi kupata presha kwa rekodi ya Tambwe VPL

Soma na hizi

Tupia Comments