Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Waziri Nape kuhusu wasanii wanaowadhalilisha wanawake

on

September 6 2016 mkutano wa nne wa Bunge la 11 umeanza mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo.
Katika kipindi cha maswali na majibu moja ya swali lililopata nafasi ni kutoka kwa mbunge wa viti maalum CCM Mary Mwanjelwa aliyetaka kupata ufafanuzi wa Serikali kuhusu kudhibiti udhalilishaji wa kijinsia unaofanywa na baadhi ya wasanii nchini.
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ametolea ufafanuzi

ULIIKOSA HII ACT WAZALENDO KUHUSU TETESI ZA PRO. LIPUMBA KUJIUNGA NDANI YA CHAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement