Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni Nandy tena… katuletea ”NINOGESHE”

on

Baada ya video yake akiwa faragha na msanii mwenzake Billnas kuvuja na kuzua taharuki katika mitandao ya kijamii na kuitwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA ) na TCRA, Mwanamziki Nandy ameamua kuachia kibao chake kipya ”Ninogeshe”. Itazame hapa CHINI.

“Watu wengi wamenitafuta niwatangazie nguo za ndani baada ya ile video” Nandy

VIDEO: NANDY KAZUNGUMZIA ALIYEVUJISHA VIDEO YAKE NA BILLNASS, AJISALIMISHA

Soma na hizi

Tupia Comments