Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

NANDY EXCLUSIVE: “Ruge Mutahaba alinichumbia, tulipanga kufunga Ndoa March 2019” (+video)

on

“Ruge Mutahaba alinichumbia, tulipanga kufunga Ndoa March 2019” hayo ni maneno ya Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ambae kwa mara ya kwanza leo kwenye Exclusive na Mtangazaji Millard Ayo amekiri kwamba alikua na uhusiano wa kimapenzi kwenye level ya Uchumba na Marehemu Ruge Mutahaba, ameongea kwa urefu sana kwenye hii video hapa chini bonyeza play kumtazama

VIDEO: MENGINE ALIYOFUNGUKA ZARI, KAZI YA MUME WAKE, MALI ANAZOMILIKI SOUTH AFRICA, GARI ATAKALOPEWA KWENYE ENGAGEMENT PARTY

EXCLUSIVE: “SASA NAENDA KUOLEWA, NATAMANI WATOTO MAPACHA” – ZARI THE BOSS LADY 

Soma na hizi

Tupia Comments