Duniani

Upinzani Kenya umetangaza atakayeshindana na Rais Kenyatta kwenye Uchaguzi Mkuu

on

Muungano wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.

Aidha, NASA imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza

VIDEO: Waziri wa viwanda kuhusu gesi ya Tanzania kukatazwa Kenya. Bonyeza play kutaama…

Soma na hizi

Tupia Comments