Tangaza Hapa Ad

U HEARD: ‘Nimesikia wimbo mbaya lakini sijataja ni wa nani’-Nay wa Mitego


Leo January 18 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Brown ametuletea U Heard inayomhusu Nay wa mitego baada ya jana kuandika kwenye account yake ya instagram kuwa ‘leo nimesikiliza wimbo mbaya kuliko nyimbo mbaya zote nilizowahi kuzisikiliza mwaka huu’

Soudy Brown amedai kuwa watu wamehusisha wimbo huo mbaya anaousema Nay wa Mitego kuwa ni wimbo mpya wa Madee ‘hela’, Nay wa Mitego alipoulizwa, haya yalikuwa majibu yake……….

‘Sijataja wimbo wa mtu, sijasema wimbo wa nani kama huyo amejishuku basi wimbo wake mbaya mimi sijataja wimbo wa msanii yoyote ila mimi nimesikiliza wimbo mbaya’

Soudy Brown amepiga stori pia na Madee na kumuuliza nani ni rasi wa Manzese kati ya Madee na Nay wa mitego……..>>>’Nenda ukaulize Manzese utapata jibu au wewe unajua nani ni rais wa Manzese’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza Full Stori

VIDEO: Diva alivyowakutanisha Live Madee na Mama Makavaka, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement