Tangaza Hapa Ad

Mix

U HEARD: Producer Mr Tee Touch ameingia kwenye Beef na Rapper Nay wa Mitego

on

Headlines za leo November 29 2016 Bongoflevani zinachukuliwa na wakali wawili Producer  MrTee Touch ambayeanausika kutengeza midundo ya Rapper Nay wa Mitego wameingia kwenye bifu, ripoti kutoka kwenye Uhead ya Clouds zinadai kuwa wakali hao wanagombea baadhi ya beat ikiwemo beat ya mdundo wa ‘Pale Kati’

Kitu nilichoongea mimi ni kuwa anatumia beat zangu bila kuniambia kwa mfano beat ya Pale Kati ni haki yangu niliandaa mwenyewe yeye akaja akaichukua akaitoa bila kuniambia, kuanzia sasa hivi Nay wa Mitego haruhusiwi kutumia beat zangu’>>>Mr Tee Touch

Nani anasema kuwa natumia beat zake bila taarifa kwa hizo beat sizimefanyika kwenye studio yangu ya Free Natio na akisema kuwa natumia beat zake bila kumwambia mwambie aje kuniambia mimi mwenyewe‘>>>Nay wa Mitego

ULIMISS HII BEHIND THE SCENE YA RAHA JIPE MWENYEWE LINAH ALIVYOKIMBIZWA NA MBWA ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI….

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement