Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Nay wa Mitego kaikamilisha studio yake, kuna hizi video fupi katupa

on

Sasa hivi ni zaidi ya miezi mitatu toka tusikie kuwa Rappa Nay wa Mitego na aliyekuwa Producer wake wa zamani Mr T Touch waache kufanya kazi pamoja,mwanzoni wakati studio ya Free Nation inafunguliwa, Nay wa Mitego alisema kuwa studio hiyo ameamua kumfungulia Producer wake kama zawadi kwa kumtengenezea hits nyingi.

Katikati ya mwaka jana tulisikia kuwa wamegombana na Nay wa Mitego akaamua kuichukua studio hiyo na kuihamisha ilipokuwa mwanzo na kuipeleka sehemu nyingine,sasa hivi studio hiyo imekamilika na Nay wa Mitego katuonyesha kwa ndani ilivyo.

Kupitia akaunti ya Instagram ya Nay wa Mitego ameshare picha ambazo zinaonyesha kukamilika kwa studio hiyo na tayari inaonekana imeshaanza kufanya kazi.

Moja kati ya caption ambazo zipo kwenye video hizo ameandika>>’#FreeNationRecords2017Mchakamchaka
#PumziUnayo.?!Mungu ni mwema?? mabaya yao Mungu anageuza Kheri kwangu. Ukitaka kushindana namimi Jiandae kufirisika.?? Karibuni mjengoni #FeeNationRec palipo Barikiwa Kutoa Mziki wenye hela, GoodMusic.
#MoneyMusic?‘.

#FreeNationRecords2017?? #Sijiwezi LINK ON MY BIO☝️

A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on

#FreeNation2017?? #Sijiwezi LINK ON MY BIO ☝️☝

A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on

#9tSessionFreeNationRec Mida ya Kazi hii…?? @osam_966 @osam_966

A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on

ULIPITWA? EXCLUSIVE!! Orijino Komedi vipi? Q Chief kaitwa WCB, ushauri wa Walter Chilambo je? tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement