Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Rais Zuma ametangaza Kujiuzulu

on

Leo February 14, 2018 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Urais kwa manufaa ya Chama chake cha ANC na Wananchi wa Afrika Kusini.

Zuma ametangaza hadharani kujiuzulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari ambapo amesema asingependa damu imwagike na chama ANC kimeguke kwa sababu yake.

Uamuzi wa Zuma umekuja kutokana na msukumo uliokuwa unatolewa na Chama chake pamoja Bunge la nchi hiyo.

Kamanda Mpinga ametaja Waliokamatwa na Meno ya Tembo yenye Thamani ya Milioni 33

Soma na hizi

Tupia Comments