Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 10: Ndege inayotajwa kwa ubora na yenye starehe kuliko zote duniani

on

Mtu wangu wa nguvu leo nimeipata hii ya Ndege inayotajwa kuwa na starehe za kutosha ikiwa imetengenezwa ubora kuliko Ndege yoyote ile duniani. Ndege hii inafahamika kama “World’s Most Luxurious Commercial Jet ikiwa na jina la kibiashara Crystal

crystal-luxury-air-global-express-xrs

Crystal Plane ina mgahawa wa kisasa zaidi kuliko hata migahawa ya mitaani, Bar ambayo ni Classic sana, pamoja na huduma ya Internet yenye kasi zaidi ya Wi-Fi… Ndege hii inamilikiwa na kampuni kutoka nchini Marekani. 

Gharama za kuikodi ndege hii ni dola za Marekani elfu hamsini kwa siku moja huku abiria akipewa huduma ya hadhi ya hoteli ya five star. Ndege hii inatarajiwa kuanza kutumika na wateja ifikapo mwaka 2017.

Nimekusogezea hapa picha za ndani ya ndege hiyo mtu wangu.

cy2

cy3

cy4

cy5

cy6

cy7

cy8

jet-1

ULIPITWA NA KAULI YA BABU TALE KUHUSU UKARIBU WA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ? MTAZAME HAPA.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement