Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Historia fupi ya Marehemu Hamadi Ndikumana kuzaliwa na soka Ulaya

on

Hamad Ndikumana alizaliwa October 5 1978 Kigali Rwanda na alianza kucheza soka la ushindani akiwa na Rayon Sports mwaka 1998 hadi mwaka 1999 alipofikisha miaka 20,  mwaka 2000 aliamua kwenda kucheza soka la kulipwa Ubelgiji kwenye Club ya KFC Turnhout.

Ndikumana ambaye mashabiki wa soka Rwanda walikuwa wakimjua kwa jina la Kataut kutokana na umahiri wake wa kucheza mipira ya tacling kwa ufasaha, amecheza soka la kulipwa Ubelgiji kwa miaka mitano akiwa na Timu mbalimbali lakini mwaka 2005 akaamua tena kwenda kuanza maisha mapya ya soka la kulipwa nchini Cyprus.

NDIKUMANA WA UWOYA KAFARIKI, CHANZO NA ALICHOOMBA KABLA YA KUFARIKI CHATAJWA

HISTORIA FUPI YA HAMAD NDIKUMANA KABLA YA KUFARIKI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement