Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Naongea kiingereza kupita maelezo ila niliongea Kiswahili Nigeria makusudi”-NANDY (+video)

on

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com kuzungumzia ishu ya yeye kuongea Kiswahili alipohojiwa kwa Kiingereza kwenye utoaji wa Tuzo nchini Nigeria.

Nande amesema sio kwamba yeye hajui Kiingereza ila aliongea Kiswahili makusudi ili kukitangaza Kiswahili na aliona watu wamekipenda, unaweza kumtazama zaidi kwenye hii video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement