Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kama Neymar angehama FC Barcelona, angekuwa mchezaji anayelipwa zaidi

on

September 9 2016  wakala wa mshambuliaji wa na nahodha wa timu ya taifa ya Brazil anayeichezea FC Barcelona Neymar, ameweka wazi kuwa staa huyo alikuwa ahame katika kipindi hiki cha usajili cha majira ya joto.

Wakala wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa staa huyo alikuwa ajiuge na vilabu vya Man United au Paris Saint Germain ya Ufaransa, kwani vilionesha dhamira ya wazi ya kuhitaji huduma ya staa huyo.

Wagner Ribeiro ameeleza kuwa kabla ya Neymar kuongeza mkataba wa miaka mitano wa kuitumikia FC Barcelona, alikuwa ajiunge na PSG au Man UnitedWagner Ribeiro ameeleza kuwa PSG walikuwa wanataka kumlipa Neymar mshahara wa euro 770,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 1.8.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement