Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha10: Nyumba aliyowahi kuishi Nelson Mandela kabla na baada ya kutoka jela Afrika Kusini

on

December 05, 2013, zilitoka taarifa za msiba wa hayati Nelson Mandela Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini na mwili wake ulizikwa tarehe kama ya leo December 15 katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape Afrika Kusini.

Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu rais huyo afariki Dunia millardayo.com inakusogezea Picha za nyumba aliyowahi kuishi Nelson Mandela enzi za uhai wake kabla na baada ya kutoka jela akiwa na mke wake Winnie Mandela

Nyumba hiyo ipo mtaa wa Vilakazi Orlando west Soweto na imepewa jina la Mandela House, kwa mujibu wa mpokea wageni anasema watu zaidi ya 1000 kwa siku hutembelea sehemu hiyo ya makumbusho.

dsc_0231

dsc_0229

dsc_0209

dsc_0211

Baadhi ya vitu aliwahi kutumia Nelson Mandela

dsc_0208

dsc_0228

dsc_0226

Jiko alilowahi kutumia Winnie Mandela

dsc_0216

dsc_0230

ULIIKOSA YA MAJIBU YA SERKALI KUHUSU WANAOSUBIRI AJIRA ZA WALIMU? ITAZAME 

Tupia Comments

Advertisement