Biko


Tangaza Hapa Ad

Video Mpya

Patoranking wa Nigeria kamchukua Mtanzania, sasa ni Msanii wake na katuletea hii video mpya “dunia”

on

Wanigeria wengine wakiwakubali Watanzania wanapiga kolabo tu alafu mchezo umeisha lakini kwa Patoranking utajiuliza ni kitu gani kimemfanya mpaka akaamua kumsain moja kwa moja Kitanzania huyu wa Kitanzania awe chini ya Label yake.

Msanii mwenyewe ni Walid Ali (25) alieishi Tanzania na kuhamia Holland (Amsterdam) akiwa na miaka 7, anafanya muziki wa Afro Pop akiimba kwa kiingereza na kiswahili na ndio kitu kingine kilichomvutia Patoranking na kuamua kumsajili kwenye Record Label yake iitwayo Amari MusicNigeria.

Tazama hii video yake mpya alafu uache na comment yako hapa chini

EXCLUSIVE: Aslay katuonyesha gari lake jipya (BMW)… bonyeza play kwenye hii video hapa chini

MAMA DOGO JANJA AVUNJA UKIMYA KUHUSU NDOA YA DOGO JANJA NA UWOYABonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement