Top Stories

Nape Nnauye ‘Ukizuia watu kusema wanayowaza unaweza kukutana nao’

on

Leo June 12, 2018 Kitendo cha Mtandao wa Jamii Forum kufungiwa na Mitandao mingine ya Kijamii nchini kutokana na kanuni za maudhui ya kimtandao za mwaka 2018, kimemuibua Mbunge Mtama Nape Nnauye ambaye ameandika katika ukurasa wake wa Twitter. 

Nape aliyewahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika huku akiambatanisha picha ya Mkurugenzi mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo amesema, “Hili la JF  linafikirisha. Ukizuia watu kusema wayawazayo unaweza kutana nao….. kimya kimya!.”

LIVE MAGAZETI: Uchunguzi mkubwa mali za VIGOGO, Serikali kuwasaidia wenye wake wawili

Soma na hizi

Tupia Comments