Tangaza Hapa Ad

Mikono ya Director Travel kwenye video hii mpya ya Future Jnl


Ni msanii kutoka Bongoflevani, Future Jnl ambapo leo August 30, 2016 ameachia video mpya ya single yake iitwayo Tena, imetayarishwa na director Travel wa Kwetu Studio.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video mpya ya Future Jnl

ULIIKOSA HII YA KISS DANIEL ALIVYOTOA BURUDANI DAR ES SALAAM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement