Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Majibu ya baba yake Mrisho Ngassa kuhusu Ngassa kuvunja mkataba na Free State

on

August 25 2016 klabu ya Free State ya Afrika Kusini ilitoa barua rasmi ya kuthibitisha kuvunja mkataba na winga wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu hiyo Mrisho Khalfan Ngassa bila kueleza kwa kina sababu, kwa nini Ngassa aliomba kuvunja mkataba wa miaka mine na Free State, nimemtafuta baba mzazi wa Mrisho Ngassa mzee Khalfani Ngassa.

“Kwa sasa siwezi kuongea kuhusu suala hilo la kuvunja mkataba kwa sababu mimi sina taarifa kutoka kwake kuhusiana na hilo, ila alichoniambia ni kuwa anakuja Tanzania tutaongea, kama amefika Tanzania lazima atakuja tutaongea hawezi kuacha kuja kwa sababu ana heshimu baba yupo”

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement