Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

MSIBA: Mwanaume aliyezaa na Shilole amefariki Dunia

on

Muimbaji Shilole amethibitisha taarifa za msiba wa mwanaume huyo aliyezaa naye mtoto ambaye anafahamika kwa jina la Elias Makala, japo haijafahamika kuwa chanzo cha kifo cha marehemu  ni Ugonjwa au nini ila kupitia ukurasa wa Instagram wa muimbaji Shilole amethibitisha hilo.

Shilole amepost picha wakiwa pamoja na marehemu na kuandika …>>>“Pumzika kwa Amani baba Joyce 🙏🙏” – Shilole

Mabibi na Mabwana hili hapa kundi jipya la Muziki Bongoflevani VMG

Soma na hizi

Tupia Comments