Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Ni zamu ya Nuh Mziwanda… ‘bao la ushindi’

on

Tunae Nuh Mziwanda leo…. kasema na TV zetu kwa kutuletea video mpya ya single yake ya ‘bao la ushindi’ ambayo aliahidi siku chache zijazo kwamba ni lazima ataiachia, hawezi kupeleka audio alafu video akaigomea.

.

.

Tupia Comments